Tuesday, November 27, 2018

Karibu


Mwalimu Bettie


Masomo

Hujambo! Karibu kwenye ukumbi huu. Lengo kuu la kuwepo kwa sehemu hii kuweza kukuza lugha ya Kiswahili na kuieneza ulimwenguni. Hivyo basi nakukaribisha katika mazungumzo, makala na mtagusano wa aina yoyote ile kadri ya uwezo wako mradi Kiswahili iwe lugha tajika zaidi.

2 comments: